Friday, June 24, 2011

TANESCO MNAKERA

Hii ni kampuni ya kijinga kuliko zote duniani; hawajali maslahi ya wateja wake. Nadhani inabidi wajifunze kutoa huduma nzuri kwa wateja. Inasikitisha kwanini mgao unatolewa ka ubaguzi? Wenye nazo wanapewa umeme na wasio nacho umeme wanausikia tu. Hivi mnadhani wangapi wanaweza kumudu kununua jenereta?

No comments:

Post a Comment