Saturday, June 28, 2014
Monday, June 23, 2014
HOSPITALI ZETU BADO ZINAUA WATU.....
KUSEMA KWELI KILIO CHANGU HAKITAISHA NA HUDUMA MBOVU ZA HOSPITALI ZETU. MTU INAFIKIA UKIWA MGONJWA UNAAMUA KUKAA NYUMBANI KWA KUWA HISPITALINI HUDUMA NI MBOVU. ZAMANI HOSPITALINI ILIKUWA UNAENDA KUTIBIWA NA KUPATA NAFUU SIKU HIZI UKIENDA EITHER KUONGEZEWA UGONJWA AU KIFO KABISA! MTU MAHUTUTI HUTAKIWI KWENDA HOSPITALINI!!! KWANI UKIENDA UTAACHWA HAPO BILA HATA YA HUDUMA YOYOTE....
SERIKALI HAIAMBILIKI...KWANINI HALI HII INAENDEALEA HIVI? WAUGUZI NA MADAKTARI HAWANA MORI WA KUTIBU WATU NA WALA KUFANYA KAZI WALIYOSOMEA...KAMA HUNA PESA HUPEWI HUDUMA!! VIONGOZI AMBAO TUNAWATEGEMEA KUTUONGOZA NA KUSAIDIA WANACHI HAWANA HABARI NASI KABISA. WAO WAKIUMWA WANAPANDA NDEGE NA KWENDA KUTIBIWA NJE NA PESA ZA KODI ZA WANANCHI...
MUNGU IBARIKI TANZANIA
Saturday, June 14, 2014
SERIKALI KWELI???? KAZI 70 WAOMBAJI 10,000!!!!
Kusema kweli inasikitisha sana kuona serikali yetu inavyodhalilisha watu... haiwezekani wanatangaza kazi na kuwakusanya watu zaidi ya 10,000 katika uwanja wa Taifa kujaza hizo kazi....
Nasema kudhalilisha kwasababu zifuatazo; kwanza kwani hawakuweza kuwaambia watu wajaze maombi mikoani mwao? kwani basi uwaambie watu wasafiri kutoka mikoani kuja Dar es Salaam kutafuta kazi. Na jinsi ninavyojua idara ya Uhamiaji ni rushwa tupu na kazi hawatoi!
Serikali imeamua kuwadhalilisha watu 10,000 au kujitoa kimasomaso ili kuonyesha kuwa inasaidia kwa kuwapa 70 positions only!!! Hapo ukweli ni kwamba tayari watu wameshapewa hizo kazi before even kutangazwa...Acheni utani jamani na muwe na aibu kidogo sio kuwanya watu wajinga kiasi hicho....ni hayo......
VITU VIPYA- Linda Bezuidenhout
KWANZIA LEO NITAKUWA NAWALETEA WATANZANIA AU WATU AMBAO WANANIPA INSPIRATION KUTOKANA NA KAZI ZAO.....
Tunaanza na dada Linda Bezuidenhout mtanzania mbaye anaishi US, ni designer na mmiliki wa LindaBezuidenhoutApparel. Kusema kweli dada huyu anahitaji pongezi...kwa kazi anazozifanya...
Tunaanza na dada Linda Bezuidenhout mtanzania mbaye anaishi US, ni designer na mmiliki wa LindaBezuidenhoutApparel. Kusema kweli dada huyu anahitaji pongezi...kwa kazi anazozifanya...
![]() | |
Linda akiwa ktk vazi ambalo amedisign mwenyewe |
![]() |
Akiwa na mwanae... |
![]() |
Designer Linda akiwa models wake.... |
NIMERUDI!!!!!!!
SAMAHANI SANA WASOMAJI WANGU KWA KIMYA CHA
MUDA MREFU. KUSEMA KWELI NILIKUWA NA MAMBO
MENGI SANA AMBAYO YALIKUWA NJE YA UWEZO
WANGU. SI MNAJUA TENA MAMBO YA MITANDAO PAMOJA NA KUKOSEKANA UMEME. LAKINI SASA NINARUDI TUENDELEZE LIBENEKE LA KUPEANA HABARI NA KUELIMISHANA.
KARIBUNI SANA!!!!!!
Subscribe to:
Posts (Atom)