Ama kweli kabla hujafa hujaumbika na watu husema kuwa binadamu hujifuza kutokana na makosa. Hii inasikitisha sana, Rehema Chalamila ni mwanamziki mzuri tu lakini ona alivyoishia...hivi huku ni kulewa sifa mpaka wanatumia madawa ya kulevya au pombe? Kweli huwa wanajitakia kufikia hapo walipo? Najua sio peke yake kuna wengi tu ambao wanatumia madawa ya kulevya pamoja na vinywaji vikali ambayo baadae vinawaathiri maisha yao.
Pale umaarufu ulipokuwa juu zaidi kabla ya kuanza kutumia madawa ya kulevya.
Picha hii zinaonyesha jinsi gani madawa yalivyomuathiri..wasanii wa
kibongo msaidieni mwenzenu kwani kashapata fundisho na ni fundisho kwenu
nyote..Madawa si mazuri..
No comments:
Post a Comment