Saturday, June 23, 2012

RED CARPET LA KIBONGO OUCH!!!!

Tuangalie picha za matukio mbalimbali za superstars wa  kibongo wanavyochemka kimavazi! Ona wanavyoshindwa kutofautisha style za nguo zipi zivaliwe wapi na wakati gani....


Mainda Bongo movie actress jamani najua huwa mnavaa hovyo everyday lakini this is way too much..

Dokii mhhh!

Hair style...mwee!


No comments:

Post a Comment