Aliyekuwa Mshauri wa CHADEMA na mmoja wa Waasisi wa chama hicho Jaji Bob
Makani Amefariki dunia hivi Leo, tarehe 09/06/2012, Mauti yamemfika Bob
katika hospitali ya Agha Khan alipokuwa anapewa Matibabu.Mwenyezi Mungu ailaze roho ya marehemu mahala pema peponi.
Source: JAMII FORUM
No comments:
Post a Comment