Saturday, May 26, 2012

MKOROGO-WABUNGE EDITION

Kusema kweli siwezi kunyamaza kwa hili; watanzania tumezidi kusifiana kwa ujinga. Utaona mtu amechubua ngozi yake halafu watu wanamwambia umependeza! acheni unafiki! Na sasa hata wasomi nao wanachubua ngozi tena basi na kuwaambia wengine mnaweza kupata "huu mkorogo" sehemu fulani. Sasa leo tuangalie hawa wabunge wetu ambao ndio wanatuwakilisha bungeni. Sura na ngozi zao zimechubuliwa mpaka wanaonekana kichekesho. Sielewi nani ambaye anawaambia kuwa wanapendeza. Acheni kabisa nyie ni kioo cha jamii. Mnaonyesha mfano gani kwa vizazi vyenu?

 Mariam Kasembe   BEFORE MKOROGO
                            

AFTER MKOROGO




Josephine Genzabuke

















Diana Chilolo


Mb.Diana Chilolo









Munde Tambwe







Mb.Esther Minza




Mb. Mary Chatanda




 






2 comments:

  1. wow! wanatisha hawa wanawake yaani kama misukule. wala hawapendezi kabisa.

    ReplyDelete
  2. Eti wanajiita waheshimiwa na hiyo mikorogo

    ReplyDelete