WELCOME/KARIBU to my blog. It is all about Social,Politics and Entertainment.
Friday, May 4, 2012
KWELI ANA MENGI YA KUJIFUNZA
Hivi SHY ROSE alishindwa kutengeneza keki isiyo na rangi zinazohusiana na chama chake? Wakati anajua kabisa anakwenda shrehekea na watu wanaotofautiana kiitikadi. Pichani Mbunge wa CHADEMA Halima Mdee akiikataa keki hiyo...
Picha na Mroki Mroki
Huyu naye inabidi aambiwe kila kitu.I hope ataacha utoto kutokana na ubunge aliohonga ili ashinde!
ReplyDelete