Wednesday, August 17, 2011

Tende-(Dates)



 Je unajua kuwa tende (dates) ni tunda ambalo lina faina nyingi mwilini mwako? Katika kipindi hiki cha mwezi mtukufu watu ushauriwa kula tende (kufungua swaum) kabla ya kula chochote. Tende zinasaidia kupunguza maumivu ya kichwa, kushuka kwa sukari mwilini (low blood sugar) na kuongeza nguvu ya mwili. Pia tende zina mwadini muhimu kama  magnesium, potassium na carbohydrate ambayo ni muhimu kwa afya.
Mbali na hayo tende pia zinasaidia kusaga chakula(digestion).

No comments:

Post a Comment