Monday, May 21, 2012

FLAVIANA MATATA NI MFANO WA KUIGWA

   https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEhx1FzgndF2rcM3zkMRIC-6BNqvT-INglg_UHUTS_Zcn-kfAsPAlkbBFZUkoYFFB4YofVmRW7XGmn3ki7CMVOgSZJnnuqiLkW9BlvonyET8aPuGx-69m2V_pWJuSo5iDGyDGHcdBgW-Sg8/s1600/boya.jpg
Katika  kuadhimisha miaka kumi na sita tangu kuzama kwa meli ya MV Bukoba Model Flaviana Matata amejitolea maboya ya kujiokolea  yapatayo 500 (life vests). Maboya hayo yatasaidia kupunguza vifo vinavyotokana na ajali za majini. Flaviana alipoteza mama yake katika ajali hiyo. Hii inaonyesha upendo wa kweli wa kujali watanzania wenzie. Ni watu wachache sana wenye moyo kama huu, Mwenyezi Mungu amjalie aendelee na moyo huo wa imani.
 

Sunday, May 20, 2012

Facebook founder Mark Zuckerberg marries Priscilla Chan; long time girlfriend



Facebook founder and CEO Mark Zuckerberg updated his status to "married" on Saturday.
Zuckerberg and 27-year-old Priscilla Chan tied the knot at a small ceremony at his Palo Alto, Calif., home, capping a busy week for the couple, according to a guest authorized to speak for the couple. The person spoke only on the condition of anonymity.
Zuckerberg took his company public in one of the most anticipated stock offerings in Wall Street history Friday. And Chan graduated from medical school at the University of California, San Francisco, on Monday, the same day Zuckerberg turned 28, the person said.
The couple met at Harvard and have been together for more than nine years, the person said.
Zuckerberg designed the ring featuring "a very simple ruby," according to the person who gave the following characterization of the wedding.
Facebook's IPO fails to live up to the hype
The ceremony took place in Zuckerberg's backyard before fewer than 100 guests, who all thought they were there to celebrate Chan's graduation.
Guests ate family style from the couple's favorite Palo Alto restaurants, Palo Alto Sol and Fuki Sushi. Dessert was L.A. Burdick chocolate “mice,” which the couple had on their first date, said the person.




















Sunday, May 13, 2012

Friday, May 4, 2012

Dr Mwakyembe roho nyeupe...unafiki mtupu!!!


 Naona sasa Dr. Mwakyembe roho nyeupe baada ya kuzawadiwa "ulaji" na mkuu wa ulaji au mkuu wa kaya. Kuteuliwa kwa Mwakyembe kuwa waziri wa uchukuzi naona ni njia mojawapo ya kumshukuru kwa kumfichia siri mkuu wa kaya. Nakumbuka alikuwa anaahidi kufichua siri kila kukicha lakini ghafla alikaa kimya. Mhh kumbe alikuwa anasubiria akijua atapatiwa something na mkuu wa kaya. Huu ni unafiki mtupu wa viongozi wetu kucha ni kufichiana maovu na kutufanya sisi wananchi wapumbavu.Kwahiyo inaonyesha kabisa yale yote aliyokuwa akiyasema yalikuwa ni dangya toto. Na kuwa yeye na wengine wote aliokuwa akiwashutumu ni walewale. Wote wapo pamoja katika kula pesa za watanganyika.