FLAVIANA MATATA NI MFANO WA KUIGWA

Katika kuadhimisha miaka kumi na sita tangu kuzama kwa meli ya MV Bukoba Model Flaviana Matata amejitolea maboya ya kujiokolea yapatayo 500 (life vests). Maboya hayo yatasaidia kupunguza vifo vinavyotokana na ajali za majini. Flaviana alipoteza mama yake katika ajali hiyo. Hii inaonyesha upendo wa kweli wa kujali watanzania wenzie. Ni watu wachache sana wenye moyo kama huu, Mwenyezi Mungu amjalie aendelee na moyo huo wa imani.
No comments:
Post a Comment