Tuangalie picha za matukio mbalimbali za superstars wa kibongo wanavyochemka kimavazi! Ona wanavyoshindwa kutofautisha style za nguo zipi zivaliwe wapi na wakati gani....
 |
| Mainda Bongo movie actress jamani najua huwa mnavaa hovyo everyday lakini this is way too much.. |
 |
| Dokii mhhh! |
 |
| Hair style...mwee! |
No comments:
Post a Comment