Pale ambapo watu wanashindwa kupata huduma yoyote ya kiafya nchini mwetu...Raisi Jakaya Kikwete yupo nchini Marekani kutibia...sawa hatukatai kuwa ni raisi na ana uweo wa kufanya chochote atakacho!! But safari zake pekee za kila mwaka zisizo na msingi zinagharimu mabilioni ya fedha...wakati wagonjwa /wananchi watanzania wanashindwa kupatiwa hata aspirini kutoka mahospitalini....
No comments:
Post a Comment