Well guys nimekuwa busy and stopped blogging for a while kutokana na sababu za ukosefu wa mtandao...si mnajua tena wengine tunaishi kwa umeme wa mgao; so unapokatika everything inakuwa ruined. Ila sasa nitajaribu tena blogging....
Leo nime amua kuzungumzia African First Ladies... well ngoja maisha yao kabla ya kuwa wake wa maraisi..Tuanzie na upande wa Africa mashariki tuangalie maisha yako kiujumla....
Margaret Gakuo Kenyatta: mke wa rais wa Kenya yeye hupenda zaidi nywele fupi pamoja na kuvaa suits.

SALMA KIKWETE: alikuwa mwalim wa shule ya msingi kwa miaka zaidi ya 20...elimu yake itakuwa ni standard 7 and certificate of education ya mwaka mmoja...hatuna information zake nyingi kama tunavyojua watanzania hawapendi kuweka information zao wai na hata wakiweka zitakuwa ni za uongo!!! Hupendelea zaidi kuvaa mavazi ya vitenge pamoja na kilemba.....

Janet Museveni: Mke wa raisi wa Uganda ana elimu ya sekondari yeye pia style yake ni nywele fupi, mavazi yake ni mchanganyiko; suits pamoja na ya kikabila.

No comments:
Post a Comment