Tukija upande wa Music ndo usiseme yaani watu wana copy & paste bila hata aibu! Tushukuru kuwa nchi yetu haijulikani otherwise tungekuwa tunashtakiwa kwa mambo ya "copyright infringement". Kila siku Baraza la sanaa na wasanii wenyewe huwa wanalalamika kuwa wanaibiwa kazi zao! Sasa na wao mbona wanaiba kazi za wenzao?
Angalia huu wimbo wa OLIVER TWIST wa D'banji then angalia msanii LINAH wa Tanzania alivyocopy!!
No comments:
Post a Comment