Sunday, November 4, 2012

JOKATE!!!!!!!!!

I hope ninachookiona hapa kiwe sicho...she looks like ameanza kujichubua ngozi....Ana ngozi nzuri sana lakini kwanini ndugu zangu mnapenda kuharibu ngozi zenu!! Jirekebishe Jokate tena wewe ni msomi unatakiwa uwe mfano wa kuigwa! Sio wewe unaiga watu kuchubua ngozi!!

      

1 comment:

  1. Binti mrembo lkn anajiaribu au ndo kushindana na wema sepetu!!

    ReplyDelete