Wanafunzi kupokea wageni kutoka nje
Hakuna jambo lililokuwa linanikera kama kuambiwa kujipanga barabarani kupokea viongozi wandani au wa nje. Hivi hawa viongozi huwa wanafikiria nini kuwachukua wanafunzi mashuleni kwenda kujipanga barabarani kupokea viongozi? Wana Hawajui kuwa watoto wanapoteza muda wa masomo yao. Wanajifanya wanawajali wanapowahitaji tu badala ya kuboresha elimu yao. Sasa hii ya kuwachukua na kuwapeleka IKULU kabisa eti kumpkea raisi hii kali!!
No comments:
Post a Comment