Saturday, June 16, 2012

MIKOROGO-WEMA SEPETU

Najua wengi mtasema kwanini napenda kuzungumzia suala hili la kuchubua ngozi. Siro siri I hate watu wanaotumia madawa ya kuchubua ngozi zao. Kwanini lakini mtu anakuwa na ngozi nzuri halafu anaiharibu kwa madawa? Hivi wanadhani huo "uzuri" wanaoita wao wa muda mfupi una madhara makubwa katika maisha yao. Leo tumwangalie Wema Sepetu Miss Tanzania 2006, kwa sasa ana umri wa miaka 24 (anavyodai yeye) ila she looks older than her age...kwasabau ya mkorogo!



Hapa aliposhiriki Miss Tanzania mwaka 2006; ngozi nzuri kabisa!!


Sijui nani akamdanganya kuwa mkorogo ni uzuri taratibu akaanza kuchubua uso...

This is WEMA SEPETU NOW! Wow! halafu watu wanamsifia umependeza kweli kwa nguo sawa lakini hiyo ngozi jamani...

3 comments:

  1. Kweli anaonekana mkubwa kuliko umri wake sijui kwanini watu hawaelewi madhara ya mkorogo. Alikuwa na rangi yake nzuri sana kajiharibu anaonekana kituko sasa.

    ReplyDelete
  2. Duh jamn mpaka huruma kwakweli sio peke yake hata Irene Uwoya nae haipendezi kiukweli na haivutii kama ndo wanataka kuwa tofauti na watu sababu ya tasnia yao ya Filamu sio khvyo nadhan wangeangalia style nyngne hata nywele Mavazi na ubunifu wa kazi ila sio hvyo ni heri wangetoboa masikio tuuu au wavae nguo za ajabu inshort Wema katisha ndo maana tunamuita Mzungu Mchafu

    ReplyDelete
    Replies
    1. Anony umenifurahisha kweli eti mzungu mchafu...kweli kabisa hizo style zao sijui wanazitoa wapi! Wanaonekana ni wachafu chafu tu!

      Delete