Thursday, March 15, 2012

Tunajifunza nini kwa hii kesi ya Rod Blagojevich


Rod Blagojevich akielekea jela kutumikia kifungo.

Huko kwa wenzetu hawajali wewe ni nani wala cheo gani  katka serikali, kama umefanya kosa hakuna kulindana.Nchini Marekani aliyekuwa Gavana wa Illinois  Rod Blagojevich ameingia jela kuanza kutumikia kifungo cha miaka 14 kwa makosa mbalimbali ya rushwa. Ingekuwa nchi zetu za Kiafrika especially Tanzania ambayo serikali imeoza hadi raisi wake pia ni rushwa tupu wangelindana hapa... Hivi ndivyo inavyotakiwa sio viongozi wa serikali wanafanya makosa na kuachiwa huru. Wakati watu wa kawaida wanafungwa kwa makosa madogo na kufungwa vifungo virefu...au hata kufungwa bila sababu


Hapa ndipo atakapoishi kwa kipindi cha miaka 14.......
Soma zaidi hapa
http://www.chicagotribune.com/news/local/breaking/chi-blago-leaves-home-for-colorado-prison-20120315,0,4898824.story

No comments:

Post a Comment