Saturday, September 10, 2011

POLENI WAZANZIBARI


 MV Spice Islanders ikizama majini.



Maiti za watoto zikitolewa majini... Mwenyezi Mungu awalaze mahala pema peponi...Amin!!



 Mwenyezi Mungu mwingi wa rehema mwenye kurehemu awape nafuu majeruhi wote.

1 comment:

  1. Mwenyezi awalaze pema peponi marehemu wote, na awape nafuu majeruhi. Amina!

    ReplyDelete