 |
Aisha-Dancer |
 |
Asha Baraka-(R) mmiliki wa ASET |
 |
Maimartha-TV Presenter |
 |
Dotnata |
 |
Sauda-TV Presenter |
 |
Luiza -Musician |
Mkorogo unakufanya upendeze au Uchukize?
Nimeshawahi kuzungumzia topic hii hapo nyuma kidogo na inanikera sana.
Siku zote naamini kuwa kila binadamu ameumbwa vizuri na anapendeza kutokana na rangi yake. But why people choose to bleach their skin? Hivi wanafikiri kuwa wanapendeza? Najua kuwa wengi wanataka kuuondoa chunusi na madoa usoni/mwilini, Ila kwanini basi wanatumia chemicals ambazo zinaharibu ngozi zao. Kwa mtazamo wangu “mkorogo” unamfanya mtu aonekane mkubwa zaidi ya umri wake na pia kuonekana kama kinyago. Watu maarufu na wenye majina makubwa Tanzania nao wanatumia mikorogo. Kusema kweli siwaelewi watu wanaojibua ngozi zao; mie nawaona kama malimbukeni. Wengine ni weupe already lakini wanaona haitoshi... Pichani juu ni watu maarufu wachache ambao kusema kweli wanasikitisha na sio kama wanavyofiri kuwa wanapendeza. Jirekebisheni jamani kwan nyie ni kioo cha jamii...
My gracious goodness! Hawa ni misukule wanatoka kucheza video ya Thriller? Inabidi warudi tu makaburini wakajifukie.
ReplyDelete