Kwa kuanza weekend hii tuburudike na Marijani Rajabu wimbo Mayassa...
Friday, October 7, 2011
VIPODOZI VINAPOZIDI -INACHEKESHA
Hivi Tanzania tuna "make up artists" au? Utakuta mtu ametoka saloon amekandikwa make up au yeye tu mwenyewe kajirundika "layers" za vipodozi kama "geisha" girl. Kwanza mtu ni mweusi halafu napaka vipodozi vya mtu mweupe. Yaani wengine wanaonekana kituko ila wao wanaona kuwa wanapendeza...Sasa tuangalie hawa wasanii wetu wa kibongo hapa nazungumzia waigizaji, waimbaji na kadhalika tena basi wanawake kwa wanaume..Najua mnataka muonekane vizuri kwenye camera lakini " ni too much. Kama mnaiga mambo basi igeni mazuri basi.
Huyu ni mwanamke wa kijapani wanaoitwa "Geisha"
Subscribe to:
Posts (Atom)



