Tuesday, January 10, 2017

MWANA MPOTEVU

Wow it has been a while since I posted something in my blog! I know I' ve been through a lot to mention a few; mtandao uligoma😊! But now I promise that I will try to post at least twice a week. Na nitakuwa nikileta mambo mazuri zaidi kama ya afya especially ya kupunguza unene, mapishi na fashions.
NAKARIBISHA PIA MAONI PAMOJA NA STORY MBALIMBALI

KARIBUNI SANA!!!!

Sunday, November 9, 2014

TUTAFIKA TUUU!!!!!





















Pale ambapo watu wanashindwa kupata huduma yoyote ya kiafya nchini mwetu...Raisi Jakaya Kikwete yupo nchini Marekani kutibia...sawa hatukatai kuwa ni raisi na ana uweo wa kufanya chochote atakacho!! But safari zake pekee za kila mwaka zisizo na msingi zinagharimu mabilioni ya fedha...wakati wagonjwa /wananchi watanzania wanashindwa kupatiwa hata aspirini kutoka mahospitalini....

Saturday, November 8, 2014

NEW SONG: I KIBA MWANA DAR


BURUDANI YA LEO-YONDO SISTER (BILANGA)


SITTI MTEMVU...KABWAGA MAJANGA


 


Nadhani ni uamuzi mzuri alioufanya lakini mpaka kachokonolewa kwa maneno ndo akaamua...kuachia ngazi!! Dada mwili si wa kimiss...uso umemkomaa halafu anasema eti ni miaka 18!!!! So yamedhaandikwa  mengi na wengi...kwa kuwa ni mtoto wa kigogo ndo uwe miss uchakachuaji wa kila kitu...nomaaaaaaaaaa!!!