Saturday, November 8, 2014
SITTI MTEMVU...KABWAGA MAJANGA
Nadhani ni uamuzi mzuri alioufanya lakini mpaka kachokonolewa kwa maneno ndo akaamua...kuachia ngazi!! Dada mwili si wa kimiss...uso umemkomaa halafu anasema eti ni miaka 18!!!! So yamedhaandikwa mengi na wengi...kwa kuwa ni mtoto wa kigogo ndo uwe miss uchakachuaji wa kila kitu...nomaaaaaaaaaa!!!
Sunday, October 19, 2014
WAKE WA MARAISI WA AFRICA & STYLE ZAO
Well guys nimekuwa busy and stopped blogging for a while kutokana na sababu za ukosefu wa mtandao...si mnajua tena wengine tunaishi kwa umeme wa mgao; so unapokatika everything inakuwa ruined. Ila sasa nitajaribu tena blogging....
Leo nime amua kuzungumzia African First Ladies... well ngoja maisha yao kabla ya kuwa wake wa maraisi..Tuanzie na upande wa Africa mashariki tuangalie maisha yako kiujumla....
Margaret Gakuo Kenyatta: mke wa rais wa Kenya yeye hupenda zaidi nywele fupi pamoja na kuvaa suits.

SALMA KIKWETE: alikuwa mwalim wa shule ya msingi kwa miaka zaidi ya 20...elimu yake itakuwa ni standard 7 and certificate of education ya mwaka mmoja...hatuna information zake nyingi kama tunavyojua watanzania hawapendi kuweka information zao wai na hata wakiweka zitakuwa ni za uongo!!! Hupendelea zaidi kuvaa mavazi ya vitenge pamoja na kilemba.....

Janet Museveni: Mke wa raisi wa Uganda ana elimu ya sekondari yeye pia style yake ni nywele fupi, mavazi yake ni mchanganyiko; suits pamoja na ya kikabila.

Subscribe to:
Posts (Atom)