
Tuesday, January 10, 2017
MWANA MPOTEVU
Wow it has been a while since I posted something in my blog! I know I' ve been through a lot to mention a few; mtandao uligoma😊! But now I promise that I will try to post at least twice a week. Na nitakuwa nikileta mambo mazuri zaidi kama ya afya especially ya kupunguza unene, mapishi na fashions.
NAKARIBISHA PIA MAONI PAMOJA NA STORY MBALIMBALI
KARIBUNI SANA!!!!
NAKARIBISHA PIA MAONI PAMOJA NA STORY MBALIMBALI
KARIBUNI SANA!!!!
Sunday, November 9, 2014
TUTAFIKA TUUU!!!!!
Pale ambapo watu wanashindwa kupata huduma yoyote ya kiafya nchini mwetu...Raisi Jakaya Kikwete yupo nchini Marekani kutibia...sawa hatukatai kuwa ni raisi na ana uweo wa kufanya chochote atakacho!! But safari zake pekee za kila mwaka zisizo na msingi zinagharimu mabilioni ya fedha...wakati wagonjwa /wananchi watanzania wanashindwa kupatiwa hata aspirini kutoka mahospitalini....
Saturday, November 8, 2014
SITTI MTEMVU...KABWAGA MAJANGA
Nadhani ni uamuzi mzuri alioufanya lakini mpaka kachokonolewa kwa maneno ndo akaamua...kuachia ngazi!! Dada mwili si wa kimiss...uso umemkomaa halafu anasema eti ni miaka 18!!!! So yamedhaandikwa mengi na wengi...kwa kuwa ni mtoto wa kigogo ndo uwe miss uchakachuaji wa kila kitu...nomaaaaaaaaaa!!!
Sunday, October 19, 2014
WAKE WA MARAISI WA AFRICA & STYLE ZAO
Well guys nimekuwa busy and stopped blogging for a while kutokana na sababu za ukosefu wa mtandao...si mnajua tena wengine tunaishi kwa umeme wa mgao; so unapokatika everything inakuwa ruined. Ila sasa nitajaribu tena blogging....
Leo nime amua kuzungumzia African First Ladies... well ngoja maisha yao kabla ya kuwa wake wa maraisi..Tuanzie na upande wa Africa mashariki tuangalie maisha yako kiujumla....
Margaret Gakuo Kenyatta: mke wa rais wa Kenya yeye hupenda zaidi nywele fupi pamoja na kuvaa suits.

SALMA KIKWETE: alikuwa mwalim wa shule ya msingi kwa miaka zaidi ya 20...elimu yake itakuwa ni standard 7 and certificate of education ya mwaka mmoja...hatuna information zake nyingi kama tunavyojua watanzania hawapendi kuweka information zao wai na hata wakiweka zitakuwa ni za uongo!!! Hupendelea zaidi kuvaa mavazi ya vitenge pamoja na kilemba.....

Janet Museveni: Mke wa raisi wa Uganda ana elimu ya sekondari yeye pia style yake ni nywele fupi, mavazi yake ni mchanganyiko; suits pamoja na ya kikabila.
Leo nime amua kuzungumzia African First Ladies... well ngoja maisha yao kabla ya kuwa wake wa maraisi..Tuanzie na upande wa Africa mashariki tuangalie maisha yako kiujumla....
Margaret Gakuo Kenyatta: mke wa rais wa Kenya yeye hupenda zaidi nywele fupi pamoja na kuvaa suits.
SALMA KIKWETE: alikuwa mwalim wa shule ya msingi kwa miaka zaidi ya 20...elimu yake itakuwa ni standard 7 and certificate of education ya mwaka mmoja...hatuna information zake nyingi kama tunavyojua watanzania hawapendi kuweka information zao wai na hata wakiweka zitakuwa ni za uongo!!! Hupendelea zaidi kuvaa mavazi ya vitenge pamoja na kilemba.....
Janet Museveni: Mke wa raisi wa Uganda ana elimu ya sekondari yeye pia style yake ni nywele fupi, mavazi yake ni mchanganyiko; suits pamoja na ya kikabila.
Monday, July 28, 2014
Saturday, July 26, 2014
France Confirms No Survivors in Air Algerie Plane Crash
Cause of the crash still unknown, but French officials suspect bad weather to blame
President François Hollande of France confirmed Friday that there were no survivors from Flight AH5017 that crashed carrying 116 people from Burkina Faso to Algiers. The wreckage of the plane was found Thursday in Mali, according to officials.Both of the plane’s black boxes have been recovered and as yet, the cause of the crash remains unknown.
The Air Algerie commercial plane lost contact with controllers early Thursday an hour after it took off, as it headed into a rainstorm. The wreckage was found near the border of Burkina Faso, a presidential aide for Burkina Faso told the Associated Press.
“They found human remains and the wreckage of the plane totally burnt and scattered,” he said.
France’s Interior Minister, Bernard Cazeneuve, told RTL radio that the aircraft most likely crashed because of the storm, though he added that terrorist groups are operational in the area where the plane was found.
Read more: http://time.com/3032017/algerian-plane-wreckage-found-in-mali/
Saturday, June 28, 2014
Monday, June 23, 2014
HOSPITALI ZETU BADO ZINAUA WATU.....
KUSEMA KWELI KILIO CHANGU HAKITAISHA NA HUDUMA MBOVU ZA HOSPITALI ZETU. MTU INAFIKIA UKIWA MGONJWA UNAAMUA KUKAA NYUMBANI KWA KUWA HISPITALINI HUDUMA NI MBOVU. ZAMANI HOSPITALINI ILIKUWA UNAENDA KUTIBIWA NA KUPATA NAFUU SIKU HIZI UKIENDA EITHER KUONGEZEWA UGONJWA AU KIFO KABISA! MTU MAHUTUTI HUTAKIWI KWENDA HOSPITALINI!!! KWANI UKIENDA UTAACHWA HAPO BILA HATA YA HUDUMA YOYOTE....
SERIKALI HAIAMBILIKI...KWANINI HALI HII INAENDEALEA HIVI? WAUGUZI NA MADAKTARI HAWANA MORI WA KUTIBU WATU NA WALA KUFANYA KAZI WALIYOSOMEA...KAMA HUNA PESA HUPEWI HUDUMA!! VIONGOZI AMBAO TUNAWATEGEMEA KUTUONGOZA NA KUSAIDIA WANACHI HAWANA HABARI NASI KABISA. WAO WAKIUMWA WANAPANDA NDEGE NA KWENDA KUTIBIWA NJE NA PESA ZA KODI ZA WANANCHI...
MUNGU IBARIKI TANZANIA
Saturday, June 14, 2014
SERIKALI KWELI???? KAZI 70 WAOMBAJI 10,000!!!!
Kusema kweli inasikitisha sana kuona serikali yetu inavyodhalilisha watu... haiwezekani wanatangaza kazi na kuwakusanya watu zaidi ya 10,000 katika uwanja wa Taifa kujaza hizo kazi....
Nasema kudhalilisha kwasababu zifuatazo; kwanza kwani hawakuweza kuwaambia watu wajaze maombi mikoani mwao? kwani basi uwaambie watu wasafiri kutoka mikoani kuja Dar es Salaam kutafuta kazi. Na jinsi ninavyojua idara ya Uhamiaji ni rushwa tupu na kazi hawatoi!
Serikali imeamua kuwadhalilisha watu 10,000 au kujitoa kimasomaso ili kuonyesha kuwa inasaidia kwa kuwapa 70 positions only!!! Hapo ukweli ni kwamba tayari watu wameshapewa hizo kazi before even kutangazwa...Acheni utani jamani na muwe na aibu kidogo sio kuwanya watu wajinga kiasi hicho....ni hayo......
VITU VIPYA- Linda Bezuidenhout
KWANZIA LEO NITAKUWA NAWALETEA WATANZANIA AU WATU AMBAO WANANIPA INSPIRATION KUTOKANA NA KAZI ZAO.....
Tunaanza na dada Linda Bezuidenhout mtanzania mbaye anaishi US, ni designer na mmiliki wa LindaBezuidenhoutApparel. Kusema kweli dada huyu anahitaji pongezi...kwa kazi anazozifanya...
Tunaanza na dada Linda Bezuidenhout mtanzania mbaye anaishi US, ni designer na mmiliki wa LindaBezuidenhoutApparel. Kusema kweli dada huyu anahitaji pongezi...kwa kazi anazozifanya...
![]() | |
| Linda akiwa ktk vazi ambalo amedisign mwenyewe |
![]() |
| Akiwa na mwanae... |
![]() |
| Designer Linda akiwa models wake.... |
NIMERUDI!!!!!!!
SAMAHANI SANA WASOMAJI WANGU KWA KIMYA CHA
MUDA MREFU. KUSEMA KWELI NILIKUWA NA MAMBO
MENGI SANA AMBAYO YALIKUWA NJE YA UWEZO
WANGU. SI MNAJUA TENA MAMBO YA MITANDAO PAMOJA NA KUKOSEKANA UMEME. LAKINI SASA NINARUDI TUENDELEZE LIBENEKE LA KUPEANA HABARI NA KUELIMISHANA.
KARIBUNI SANA!!!!!!
Thursday, July 18, 2013
DUNIA INAENDA WAPI???
Jela miaka 30 kwa kubaka msikitini
Mahakama ya Hakimu Mkazi Mkoa wa Kigoma, imemhukumu Ahamad Fadhil (63), kifungo cha miaka 30 jela baada ya kupatikana na kosa la kumbaka msichana mwenye umri wa miaka 16 ndani ya Msikiti wa ni Mwembe Mmoja, mjini hapa. Hukumu hiyo ilitolewa na jana na Hakimu wa mahakama hiyo, Obadiah Bwegoge, baada ya kuridhika na ushahidi uliotolewa. Hakimu Bwegoge alisema mahakama hiyo inatoa adhabu kali dhidi ya mshtakiwa huyo ili liwe fundisho kwake na kwa vijana wengine wenye tabia ya kikatili kama yake.Alisema upande wa mashitaka ulipeleka mahakamani hapo mashahidi watano ambao bila kuacha shaka, walithibitisha kuwa mshtakiwa huyo alimbaka msichana huyo (jina limehifadhiwa) na kumsababishia maumivu makali sehemu zake za siri.
Alisema shahidi wa kwanza upande wa Jamhuri ambaye ni mlalamikaji, alidai kuwa siku ya tukio, saa nane 8:00 mchana, alikwenda msikitini hapo kuomba msaada kutokana na kusumbuliwa na ugonjwa wa kifafa.
“Nilipofika nilikutana na huyo baba akaniambia ni kiongozi wa msikiti, hivyo nilisubiri akanichangishie fedha kwa waumini wake,” alidai.
“Ndipo mimi nikaingia ndani ya msikiti upande wa wanawake kuswali, baada ya kumaliza kuswali, mzee huyo aliniita na kuniingiza ndani ya eneo lingine nikafikiri nakwenda kuchukua mchango, kumbe nakwenda kubakwa,” alidai msichana huyo mahakamani.
Alidai kuwa mshtakiwa alimpapasa sehemu mbalimbali za mwili wake na kwamba alijitahidi kukataa lakini aliishiwa nguvu na ndipo mshtakiwa alipotumia fursa hiyo kumwangusha chini na kuanza kumbaka.
Kwa mujibu wa msichana huyo, wakati tukio hilo likiendelea, alitokea mzee mwingine na kuwatenganisha na mshtakiwa wakati akiendelea kumbaka.
“Alimtoa juu yangu na huyo baba ambaye ni mshtakiwa na kuanza kukimbia, ndipo waumini wa msikiti huo walipomkimbiza na kumkamata na kuanza kumpa kipigo,”alidai.
Alidai kwmaba wakati huo alikuwa amezimia na kwamba alipozinduka alijikuta akiwa wodini katika Hospitali ya Mkoa Maweni.
Mshtakiwa alipopewa fursa ya kujitetea, aliiomba mahakama impunguzie adhabu kwa madai kwamba waumini wenzake wanamchukia ndiyo maana walinimpeleka mahakamani. Kadhalika, alidaim kuwa sehemu zake za siri hazifanyi kazi kwa muda mrefu hivyo alisingiziwa.
Hakimu Bwegoge alitupilia mbali utetezi huo na kumhukumu kifungo cha miaka 30 jela. Awali, ilidaiwa na Mwendesha Mashitaka Inspekta wa Polisi, Athumani Mshana, kuwa Febuari 19, mwaka huu, saa 8:00 mchana, eneo la Ujiji, Manispaa ya Kigoma/Ujiji, mshtakiwa alimbaka msichana mwenye umri wa miaka 16 ndani ya msikiti wa Mwembe Mmoja baada ya swala ya adhuhuri na kumsababishia maumivu makali sehemu zake za siri.
SOURCE:
NIPASHE
Wednesday, July 10, 2013
RAMADHANI NJEMA!!!!
NAPENDA KUWATAKIA WASOMAJI WANGU RAMADHANI NJEMA KWA WALE WALIOJAALIWA KUFUNGA. NA WALE WALIO WAGONJWA MWENYEZI MUNGU AWAPE AHUENI!!!!
Friday, June 28, 2013
MKOROGO-REVISIT
Subscribe to:
Posts (Atom)











